Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro akipokea kutoka kwa Balozi wa Palestina nchini Dkt. Nasri Abu Jaish ambaye amemtembelea Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro akiongea na Balozi wa Palestina nchini Dkt. Nasri Abu Jaish ambaye amemtembelea Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki akiongea na Balozi wa Rwanda nchini Mhe. Eugene Segore Kayihura aliyemtembelea Naibu Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam ili kubadilishana mawazo.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki akiongea na Naibu Balozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) nchini Mhe. Luana Reale aliyemtembelea Naibu Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo.
Picha: Wizara ya Katiba na Sheria
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...