Home
Unlabelled
MBWEMBWE ZA TIMU YA STAND UNITED
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kuhatarisha maisha ya watu tu. Is it even legal?
ReplyDeleteBurudani tu wakati mwingine acheni habari kuwa legal
DeleteIf the accident did not happen it is safe and legal in the 3rd world.
ReplyDeleteJuwa dunia ya 3 bado staarabika.
Wakome!Wanaleta mbwembwe kwenye Soka Makini
ReplyDeleteNaibu Waziri anaongoza kuvunja sheria za usalama barabarani
ReplyDeleteni kichekesho bongo waziri ambaye ni msimamizi mmojawapo wa sheria za nchi anakua wa kwanza kuongoza uvunjaji wa sheria hizo ..... bongo ustaarab bado sana ... tunaishi kama wanyama pori tu hatutumii akili zetu hata kidogo!
ReplyDeleteNi kufuatana na uelewa mdogo wa baadhi ya watanzania kuhusu usalama wao.Angalia hadi mbunge yumo kwenye mkumbo wa watu wasioelewa. Hatari sana hii.
ReplyDeleteunsafe and it is totally unacceptable
ReplyDeletehealth and safety inakataa na waziri yumo.vichwa vya wenda wazimu
ReplyDeleteEti huyu mheshimiwa aliyeteuliwa na Rais naye anashabikia kuhatarisha maisha ya watu ..... mimi siyo mhandisi lakini hairuhusiwi kabisa kapakia watu katika kijiko hata siku moja , mheshimiwa naomba uwajibike kwa hili . Kuhatarisha maisha ya watu wasio na hatia .....I wapo yule jamaa anaanguka toka juu na kukanyagwa na tairi huyu Mheshimiwa angesema nini ... Jamani bongo kila kitu ni usanii tubadilike yuo should step down !
ReplyDeleteJamani hata kama wako na Naibu Waziri ndo sheria zivunjwe na usalama kuhatarishwa namna hiyo.Wachukuliwe hatua stahiki na iwe fundisho kwa wengine.Hapo wakimwagwa na hicho kijiko tutakua tunazungumzia vifo na vilema vya maisha. kijiko kina kazi yake,hapo sii mahala pake.kamanda mpinga upo?
ReplyDeletesi mbwembwe ni ujinga ntupu
ReplyDeleteWaziri mzima huna ata akili hujui nini maana ya health and safety
ReplyDeleteYaani Waziri anashiriki tendo la kijinga kiasi hiki. Bila shaka ana ujinga mwingine zaidi ya huu ila tu hatujaona!
ReplyDeleteLegal tena? Hayo kwenu sisi ndo stand bwana waulize Simba, shughuli yetu wanaifahamu
ReplyDeletewako wapi askari wa usalama Tanzania. Yaani hawa jamaa wanahaki ya kushitakiwa kwa kuhatarisha maisha yao na ya watumia barabara. ushahidi wa picha hii unatosha kabisa kuwapandisha mahakamani.
ReplyDeleteKila siku tunalia na ajali ya barabarani halafu watu wanafanya haya. Wahusika wasipowashika na kuwashitaki nitaamini kuwa tanzania hakuna sheria
Mtalalaamika sana waadau lakini wahenga walishasema "mbwa mzee hafundishwi sheria"
ReplyDeleteMsijali wadau, mungu anatupenda ndio maana hakuna la kutokea mara zote licha ya kuwa na madudu kila kona. Mungu endelea kutubariki Watanzania.
ReplyDeleteWAADHIBIWE HAWA WOTE. VIONGOZI WAACHIE NGAZI
ReplyDeleteKWANI VYOMBO VYA USALAMA HAWAONI HAYAAA????????
ReplyDeleteMAONI YA WATU WENGINE MNAJIFANYA MNAJUA SHERIA KWANI HAMJAONA HARUSI INAENDESHWA NA GREDA NA LINAPAMNWA VIZURI TUU AU KWA KUWA NI MTU MWEUSI KAFANYA NDIO YALE KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA KAHARISHA ACHENI MAMBO YA AJABU AJABU HIZO NI MBWEMBWE TU AKA SAGA
ReplyDelete