Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd,Roselian Laizer akimkabidhi jezi kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Moita Koka kwa ajili ya timu ya Polisi Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa.kulia ni Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (RCO) ,Ramadhani Ng'anzi. |
Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd,Roselian Laizer akimkabidhi jezi kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Moita Koka kwa ajili ya timu ya Polisi Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa.kulia ni Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (RCO) ,Ramadhani Ng'anzi. Picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...