Bendi maarufu ya Muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani, inawapa mkono wa Eid El Hajj wadau na wapenzi wote wa Ngoma Africa band popote walipo.
Ngoma Africa Band inawatakia siku kuu njema ya Eid tusherehekee sote kwa Amani na Upendo.
Pia usikose kupata burudani kamili ya muziki at www.ngoma-africa.com
jiunge nao at www.facebook.com/ ngomaafricaband
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...