Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof. John Nkoma (kushoto) akiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura wakiwa katika mkutano huo.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...