Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya ambaye alikuwa ni msemaji mkuu katika Mkutano wa nne wa Jopo la Maendeleo ya Bonde la Mto Nile (4th Nile Basin Development Forum) unaofanyika jijini Nairibi,Kenya akiwasilisha mada katika mkutano huo.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya (kushoto) akifatilia mada mbali mbali zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano nhuo.
Mawaziri wa Maji wa Bonde la Mto Nile waliohudhuria Mkutano wa Nne Jopo la Maendeleo ya Bonde la Mto Nile wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. LATE RETIREMENT=EARLY DEATH.
    EARLY RETIREMENT=LATE DEATH.

    ReplyDelete
  2. Eti tustaafu mapema ili tuishi muda mrefu, huu unaweza kuwa ukweli kama unapewa penshen ya maana au unauweza wa kukimu maisha baada ya kustaafu. Fanya kazi mpaka ufikie umri wa kustaafu kwa sababu wanaostaafu huwa wanatafuta kuendelea kufanya kazi kwa kubadilisha kazi. Wakati mwingine siyo kwa ajili ya kutafuta pesa ila tu ni mahali pa kwenda badala ya kuamka bila ajenda yoyote wakati umezoea kwenda mahali kila asubuhi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...