Wanahitajika
wasichana wa kuuza duka kubwa liliopo posta jijini dar es salaam, wenye
uwezo wa kufanya Marketing, na Online Sales.
wawe na uwezo wa kuzungumza kiingereza na kiswahili fasaha. elimu kuanzia diploma.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0756608383 na 0713608383
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...