Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma Abdulla Saadalla (mwenye kofia) akioneshwa namna Meli ya RV Jumuiya inavyofanya kazi ikiwa katika mwendo ndani Ziwa Victoria na nahodha wa meli hiyo Captain Juma Nkwama jijini Mwanza.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma Abdulla Saadalla akitiasaini kitabu cha maudhurio ndani ya Meli ya RV Jumuiya.
Meli ya RV Jumuiya Meli ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiwa gatini jijini Mwanza
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...