Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha, Mhe Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Kazamoyo,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji.
 Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha, Mhe Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Nyamagana ,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji.
 Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha, Mhe Godluck Ole Medeye(kulia) akitoa msaada wa mabati kwa wananchi waliothiriwa na mafuriko jimboni kwake.
 Katibu wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Nduruma,Ally Sululu(kulia)akipokea kiasi cha Sh.500,000 kutoka kwa Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha, Mhe Godluck Ole Medeye alizoahidi kwaajili ya ukarabati wa Caravati la Kijiji hicho.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...