Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu mtambo wa kutotoa vifaranga kutoka kwa Mwalimu Deudediti Rwekaza (kushoto) katika onyesho ya siku ya walimu Duniani iliyofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba leo
Baadhi ya walimu walioshiriki katika sherehe za siku ya walimu Duniani wakiimba wimbo maalum wa Walimu kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba ambako sherehe hizo zilifanyika kitaifa leo
Sehemu ya waalimu kwenye sherehe hizo
Walimu kutoka Simiyu wakiimba katika sherehe za siku ya walimu duniani ambazo mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba leo, Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...