Home
Unlabelled
POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA BENKI ILI KUBAINI NJAMA ZA WIZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni vizuri kukawa na ushirikiano ili kudhibiti uhalifu wa benki. Lakini ni vyema tukathamini haki ya mtu. Kwa mfani ni kinyume cha haki za binadamu eti polisi kuchukua finger prints za wafanyakazi wote wa benki na kuzihifadhi ili zisaidie uchunguzi wa uhalifu wa benki.Vile vile ni kinyume cha sharia na haki za binadamu kuchukua finger prints za walinzi eti kuzihifadhi polisi ili zisaidie uchunguzi wa uhalifu. Ni vyema watanzania na waandishi wa habari wakapata elimu ya kuwa fungua macho kuhusu haki za binadamu. Kuwepo kwa uhalifu sio sababu ya ukuiukaji wa haki ya binadamu. mdau alexbura dar
ReplyDeleteAcheni vyombo vya usalama vifanye kazi zao.kama ikibidi kuchukua fingerprint hata za CEO wa benki wacha wachukue tu.
ReplyDelete