Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akiwakaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Salva Kiir wa Sudani ya kusini kuhudhuria shrehe za Uhuru wa Uganda zilizofanyika huko kololo Kampala.(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa entebbe Uganda kuhudhuria sherehe za miaka 52 za uhuru wa Uganda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...