Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,Phillip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana wakiwa kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (NEC) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM(NEC) kilichofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.
Sehemu ya Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM (NEC) wakiwa kwenye kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wake,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani) kilichofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.(picha na Freddy Maro).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...