Kikundi cha ngoma ya kibati kikitumbuiza Uwanja wa Ndege wa Pemba wakati wa mapokezi ya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA waliofanya ziara ya siku moja kisiwani humo kwa lengo la kumtambulisha Naibu Katibu Mkuu wa Chama Zanzibar, Salum Mwalimu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mkwanja huo ndio unaongea, Pemba hakuwezi kuwa na Chana cha kufanyiwa sherehe zaidi ya CUF ya Maalim Seif ila hapo fedha ndio imewaweka watu kibaruani!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...