Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MWENYEKITI WETU ALMARHUM AMIR ALI '' Bamchawi " yupo kwenye list ? katibu Juma Hazzali ? makamu ...MOHAMED GHULLUM ? AMIJEEE ? Kina SHAFFIE BORA na MOHAMED BORA ...
    WAPI CHANGAMOTO ZA WAFADHILI WA MWANZO ....JABIR SHIKAMKONO..AZIM DEWJI ...MENGI...BOBBY SOAP..GULAMALI ...etc ..hawa walibadili mprira toka ridhaa ...hadi kuwa na maslahi pamoja na kuwa huwezi sema ni mpira wa kulipwa

    NAFIKIRI WATAALAMU WA HISTORIA WAKAE TENA CHINI ...WASIKURUPUKE ...WATAKUWA WAMESAHAU VITU VINGI ...MAMBO KAMA HAYA YAFANYIKE KISOMI....KUANDIKA HISTORIA YA MIAKA 50 YA FAT ...WANAWEZA KUTAFUTA CONSULTANT WA HISTORIA CHUO KIKUU .....sasa naona hata kuna mwenyekiti wa zamani hawajui jina lake kamili wameandika just MAGGID ...


    octaM

    ReplyDelete
  2. Orodha hii imemwacha mwamuzi wa zamani wa kimataifa Method Buberwa amabaye pia alikuwa mweyekiti wa waamuzi kwa muda mrefu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...