
Familia ya Ntevi inasikitika kutangaza kifo cha Mpendwa wao Dkt Kansolele Ntevi kilichotokea ghafla tarehe 22/10/2014 jijini Dar es salaam. Habari ziwafikie ndugu, jamaa, marafiki na majirani wote popote pale walipo.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika jumatatu Tarehe 27/10 / 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Kutakuwa na ibada ya kuuaga mwili wa mpendwa wetu marehemu Dr. Kansolele Ntevi nyumbani kwake maeneo ya Kunduchi baada ya chuo cha jeshi njiapanda ya Madini, barabara ya vumbi, nyumba ya tatu.
Kwa mawasiliano na familia piga namba 0767004908 au 0717017820
Pole saana Dada Dorothy wa Dorcas Catering
Sisi tulimpenda, Ila Mungu kampenda zaidi.
Jina la Bwana na Lihimidiwe - AMINA
Kifo huwa tunasikitika kutangaza na sio tunapenda kutangaza. Angalieni matumizi ya lugha. Poleni wafiwa
ReplyDeletePole sana mdogo wangu Dorothy pamoja na watoto. Mungu akupe wepesi wewe na familia katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeleteMgaywa Magafu
Rest in peace Dr..what a loss
ReplyDeleteRIP Dr & Poleni wafiwa, Dar tunahitaji mfumo mzuri wa mitaa na address za kueleweka. Hayo maelelekezo ya kufika hapo kwake ni magumu hasa kwa mtu anaefika hapo kwa mara ya kwanza.
ReplyDelete