Wajumbe
wa Kamati ya Watoa Maamuzi Kamati ya Watoa Maamuzi ya nchi zilizo katika Bonde
la Ufa katika kongamano la Tano la Kimataifa la Jotoardhi wakiwa katika picha
ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho.
Baadhi
ya Wajumbe wa Kamati ya Watoa Maamuzi wa nchi zilizo katika Bonde la Ufa
wakijadiliano jambo wakati wa kikao cha wajumbe hao kujadilia masuala
mbalimbali kuhusu utekelezaji wa Jotoardhi kwa nchi wananchama.
Baadhi
wa Wajumbe wa Kamati ya Watoa Maamuzi wan chi zilizo katika Bonde la Ufa
wakiendelea na kikao kujadili hatua mbalimbali zilizofikiwa na nchi wananchama
katika masuala ya jotoardhi katika nchi zao, kuangalia faida zalke, changamoto
na namna ya kuzitatua.
Mmoja
wa Wakufunzi wa mafunzo yanayoendelea leo
kabla ya kufunguliwa rasmi Kongamano la Tano la Kimataifa ya Jotoardhi
akitoa mafunzo kwa baadhi ya washiriki wanaohudhuria mafunzo hayo jijini
Arusha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...