Mahujjaaj wakiendelea na Tawaaf katika Baytul Haraam. Kutufu ni kuiznguka Al Ka'abah mara saba ambayo ni mojawapo katika Manaasik ( Ibada za Hajj)

 Msikiti wa Makkah ulivyofurika msimu wa Hajj wote wakiwa katika ibaadah. picha hii ilipigwa baada ya salal ya Alfajiri kutoka ghorofa ya pili Haram.
 Wazee , watoto, kike kwa kiume wakiendelea na Ibada ya Tawaaf. Haram . Al Ka'abah ni sehemu pekee ambapo mchanganyiko kati ya wanawake na wanaume katiba Ibada umeruhusiwa
Wanaofanya ibada ya Tawaaf wakiashiria mbele ya Hajarul aswad ( jiwe jeusi) sehemu ambayo huanzia na kumalizia Tawaaf
Hapa ni karibu na Maqaam Ibraahiym, sehemu ambayo Nabii ibraahiym 'Alayhi Salaam alikuwa akisimama kufanya Ibada. Ni sunnah kusali rakaa mbili baada ya kumaliza Tawaaf nyuma ya Maqaam Ibraahiym

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tumamuomba mwenyezi mungu mwingi wa rehema awatakabalie ibada zao mahujaji wote na ss in sha Allah mwenyezi mungu atujaaliye uwezo wa kwenda kutekeleza ibada hii. amiin amiin Amiin yarabal alamyn.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...