Wanamichezo wa Wizara wa Mambo ya
Ndani ya Nchi wakimshangilia Alavuya Ntalima baada ya kushiriki mbio za Kilomita
32 za Baiskeli wanawake kutoka Kijiji cha Melela Mlandizi hadi Rombo mjini
Morogoro. Timu 12 za Baiskeli za Shirikisho za Michezo ya Wizara na Taasisi za
Serikali (SHIMIWI) zilishiriki katika mbio hizo leo. Hata hivyo, Timu za mpira
wa miguu, Kamba wanaume na wanawake na Netball zimeingia katika kundi la 16
Bora huku Timu ya mchezo wa riadha mita 100 ya wizara hiyo imeingia fainali. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Wanamichezo wa Wizara wa Mambo ya
Ndani ya Nchi wakimshangilia Alavuya Ntalima baada ya kushiriki mbio za Kilomita
32 za Baiskeli wanawake kutoka Kijiji cha Melela Mlandizi hadi Rombo mjini
Morogoro. Timu 12 za Baiskeli za Shirikisho za Michezo ya Wizara na Taasisi za
Serikali (SHIMIWI) zilishiriki katika
mbio hizo leo. Hata hivyo, Timu za mpira wa miguu, Kamba wanaume na wanawake na
Netball zimeingia katika kundi la 16 Bora huku Timu ya mchezo wa riadha mita
100 ya wizara hiyo imeingia fainali. Picha
na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mshiriki wa mbio za Baiskeli wanawake, Alavuya Ntalima akishangiliwa na
wanamichezo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati alipokuwa anawasili baada
ya kushiriki mbio za Kilomita 32 za Baiskeli kutoka Kijiji cha Melela Mlandizi
hadi Rombo mjini Morogoro. Timu 12 za Baiskeli za Shirikisho za Michezo ya
Wizara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI)
zilishiriki katika mbio hizo leo. Hata hivyo, Timu za mpira wa miguu, Kamba
wanaume na wanawake na Netball zimeingia katika kundi la 16 Bora huku Timu ya
mchezo wa riadha mita 100 ya wizara hiyo imeingia fainali. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani.
Wanamichezo wa Wizara wa Mambo ya
Ndani ya Nchi wakimshangilia Cosmas Peter (aliyevaa kofia) baada ya kushiriki
mbio za Kilomita 50 za Baiskeli kundi la wanaume kutoka Kijiji cha Melela Njia
Panda ya Msata hadi Rombo mjini Morogoro. Timu 19 za Baiskeli za Shirikisho za
Michezo ya Wizara na Taasisi za Serikali
(SHIMIWI) zilishiriki katika mbio hizo leo. Hata hivyo, Timu za mpira wa
miguu, Kamba wanaume na wanawake, Netball zimeingia katika kundi la 16 Bora
huku Timu ya mchezo wa riadha mita 100 ya wizara hiyo imeingia fainali. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Wanamichezo wa Wizara wa Mambo ya Ndani
ya Nchi wakimnyoosha misuli Cosmas Peter baada ya kushiriki mbio za Kilomita 50
za Baiskeli kundi la wanaume kutoka Kijiji cha Melela Njia Panda ya Msata hadi
Rombo mjini Morogoro. Timu 19 za Baiskeli za Shirikisho za Michezo ya Wizara na
Taasisi za Serikali (SHIMIWI) zilishiriki katika mbio hizo leo. Hata hivyo, Timu
za Mpira wa Miguu, Kamba wanaume na wanawake na Netball zimeingia katika kundi
la 16 Bora huku Timu ya mchezo wa riadha mita 100 ya wizara hiyo imeingia
fainali. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...