Mchezaji wa TUMESHERIA Sports,Bi. Marlin Komba akimkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Kombe la ushindi wa pili wa katika mashindano ya SHIMIWI yaliyomalizika hivi karibuni mkoani Morogoro.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akimkabidhi kikombe mchezaji wa TUMESHERIA Sports Club,Bi Tatu baada ya kuibuka mshindi wa pili katika mchezo wa bao wa mashindano ya SHIMIWI yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani Morogoro.
Wachezaji wa TUMESHERIA Sports Club wakifurahia mara baada ya kukabidhiwa kikombe.
Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa akiwaoongoza wachezaji wa TUMESHERIA Sports Club kumkabidhi Mwenyekiti wa Tume Kombe.
Mchezaji wa TUMESHERIA Sports Marlin Komba akionesha kikombe pamoja na Cheti cha ushiriki wa mashindano ya SHIMIWI yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...