Home
Unlabelled
TUMKUMBUKE MWALIMU NYERERE KATIKA SIKU YAKE LEO NA CONSTANTINE MAGAVILLA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana Constantine. Hii ni ukweli mzito kabisa.
ReplyDeleteHongera sana ndugu Constantine Magavilla kwa kipindi hiki cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere na historia yake. Umeleta changamoto kubwa sana kwa watu wa Tanzania. Asante sana kwa hotuba na maelezo yake.
ReplyDeleteVery nice
ReplyDeleteMarekani ina wazawa kaka. Wanaitwa Red Indians.
ReplyDeleteAsante Magavilla kwa wasaha wako kuhusu kumbukumbu ya Mwl. JKN. Ulilosema kuhusu Historia ni muhimu sana, nafikiri kwa wale waliomsoma Marcus Garvey watakumbuka alivyokuwa akilisisitiza hili miaka ya 20 na 30 huko Marekani.
ReplyDeleteKwa bahati mbaya mpaka sasa hivi watu weusi bado wanahangaika duniani kwa sababu tu ya kutoielewa historia yao, matokeo yake ni jamii ya daraja la chini kabisa. Hata wale wanaoishi kwenye "super-power country" wamebaki kuburuza mkia katika ligi ya kiuchumi!
Kimsingi historia tunayotakiwa kuijua sio tu ya haka kasehemu tunakaita "Tanzania", tunatakiwa kuijua historia kamili ya mtu mweusi, ndipo tutakapopata "self-confidence" na uthubutu wa kupambana na kusonga mbele, kwani tutajua mafanikio ambayo walikuwa wameyapata waliotutangulia.
Ni juzi tu wakazi wa maeneo ya pembeni mwa ziwa Nyanza/Lweru walikuwa wamepiga hatua ya ufuaji chuma miaka takribani 2,000 iliyopita kwa teknologia ambayo haikuwa imefika hata Ulaya. Na chuma ndio msingi wa maendeleo ya kilimo na viwanda. Watu wengi weusi ukiwasimulia hicho kidogo wanakukimbia kuwa umepoteza fahamu, hawaamini!
Kwa historia fupi ya TZ bado tunanyang'anyana nani haiandike, maana bado kuna mambo hayajawekwa wazi na si washiriki wengi wameainishwa katika historia hiyo. Itabidi tuiandike upya vizuri wakati walioishuhudia wakiwa bado wanaishi!
Bwana Magavilla nitaomba kutofautiana nawe kidogo kama nimekuelewa maana nimeona kama unautukuza umaskini! Hili ni kosa kubwa. Ila endelea kutafiti utapata mengi ambayo bado hayajawa wazi, na ndipo utakapoweza kuwaelezea walimwengu ni kinawasibu! Keep looking!!
STEVEN MENGERE BWANA, AKIMUIGIZA MWALIMU NYERERE UTAZANI NI YEYE ORIGINAL.
ReplyDeleteUshauri kwa mtoa maada
ReplyDelete1.Eleza facts zilizopo na sio kukisia.
2.punguza maelezo kwa mkono ,ikiwezekana usipakate fimbo,Kama ni identity yako itajulikana tuu haina haja ya kulazimisha,
3.Relax mwanzo mzuri