Meneja
wa Msanii wa Kimataifa T.I anayetarajiwa kuwasili chini , kwa ajiri ya
kutumbuiza kwenye Tamasha la Fiesta 2014 hapo kesho katika viwanja vya
Lidaz Club jijini Dar, Jonson Geter wa kwanza kushoto akifafanua jambo
moja ya swali lililoulizwa na mmoja wasanii walioshiriki kwenye semina
ya fursa ndogo ya Wasanii na wadau wa muziki iliyofanyika kwenye ukumbi
wa Litle Theather,jijini Dar,Pichani kulia ni Prodyuza mahiri wa Muziki
wa hapa nchini anayemiliki studioo yake ya Bongo Records,P-Funk Majani.
Aidha Uongozi wa msanii huyo T.I leo umeshiriki kwenye
semina ya fursa Ndogo ya wasanii na wadau wa muziki iliofanyika kwenye
ukumbi wa Little Theather ,jijini Dar kuzungumzia Fursa zilizoko katika
biashara ya Muziki, Mada iliyoongelewa ni namna ya kujiongeza kwa
kuangalia fursa za mbalimbalizi zilizomo kwenye tasnia hiyo na wakati
msanii anapokuwa kwenye kilele cha mafanikio. Fursa 2014 inakaulimbiu
ya Jitathmini Jiamini Jiongeze.
Sehemu ya meza kuu iliyoshiriki semina ya fursa
Ndogo ya wasanii na wadau wa muziki iliofanyika kwenye ukumbi wa Little
Theather ,jijini Dar kuzungumzia Fursa zilizoko katika biashara ya
Muziki, Mada iliyoongelewa ni namna ya kujiongeza kwa kuangalia fursa za
mbalimbalizi zilizomo kwenye tasnia hiyo na wakati msanii anapokuwa
kwenye kilele cha mafanikio. Fursa 2014 inakaulimbiu ya Jitathmini
Jiamini Jiongeze.
Mwimbaji
wa bendi ya muziki wa dansi ya Skylight Band,Annet Kushaba akiuliza
swali kwa uongozi wa msanii T.I kutoka nchini Marekani,kwenye fursa
Ndogo ya wasanii na wadau wa muziki iliofanyika kwenye ukumbi wa Little
Theather ,jijini Dar kuzungumzia Fursa zilizoko katika biashara ya
Muziki, Mada iliyoongelewa ni namna ya kujiongeza kwa kuangalia fursa za
mbalimbalizi zilizomo kwenye tasnia hiyo na wakati msanii anapokuwa
kwenye kilele cha mafanikio. Fursa 2014 inakaulimbiu ya Jitathmini
Jiamini Jiongeze.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva atambulikae kwa jina la
kisanii la CPWA akiuliza swali kwenye semina ya fursa ndogo iliofanyika
leo jjini dar.
Msanii wa bongofleva ajulikanae kwa jinal a Witness akiuliza swali kwa uongozi wa msanii T.I kutoka nchini Marekani,kwenye fursa
Ndogo ya wasanii na wadau wa muziki iliofanyika kwenye ukumbi wa Little
Theather ,jijini Dar kuzungumzia Fursa zilizoko katika biashara ya
Muziki, Mada iliyoongelewa ni namna ya kujiongeza kwa kuangalia fursa za
mbalimbalizi zilizomo kwenye tasnia hiyo na wakati msanii anapokuwa
kwenye kilele cha mafanikio. Fursa 2014 inakaulimbiu ya Jitathmini
Jiamini Jiongeze.
Baadhi ya wapenzi na wadau wa muziki walioshiriki senina ya fursa wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri ukumbini humo.
Baadhi ya wapenzi na wadau wa muziki walishiriki pia.Kulia ni Msanii kutoka kampuni ya NO Fake Zone Linah na Rechael kutoka THT.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...