Bw. Mark toka Texas(kati) akiongea na wajumbe kwenye hafla ya Cocktail iliyofanyika Alhamisi jioni kulia ni Mhe. Liberata Mulamula na Lunda Asmani kushoto wakifuatilia kwa karibu.
Mgeni rasmi wa DICOTA 2014 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kati) katika picha ya pamoja na wajumbe waliofika kwenye mkutano wa DICOTA Durham, North Carolina nchini Marekani akiwemo mkurugenzi mkuu wa Azania Bank Bw. Charles Singili.
Mhe. Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe waliofika kwenye mkutano wa DICOTA 2014 Durham, North Carolina nchini Marekani.
Kutoka kushoto ni Gella Sambula, Bw. Alphano Kidata (permanent Secretary) na H. Taratibu (Asst Director of Planning & Budget wakifuatilia jambo walipojumuika na wajumbe kwenye hafla ya Cocktail iliyofanyika Alhamisi jioni katika hotel ya Millennium Durham, North Carolina nchini Marekani.
Mjumbe akipata picha ya kumbukumbu na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
Wajumbe wakisikiliza utaratibu na mwongozo wa DICOTA 2014 Convetion kama ulivyokua ukitolewa na Bw. Lunda Asmani. Kwa picha zaidi bofya HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...