Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Bagamoyo road,bondeni njia panda kawe

    ReplyDelete
  2. Daraja la Kawe (Tanki Bovu) kupanda kwa komba, mpigaji alikua Juu njia panda ya Ditopile.

    ReplyDelete
  3. Njia panda ya kawe barabara ya mbezi beach.

    ReplyDelete
  4. Bondeni kawe

    ReplyDelete
  5. Bagamoyo Road baada tu ya kupita njia panda ya white sands kabla ya kuingia tegeta/wazo. Salam zao huko

    ReplyDelete
  6. Thika Highway, Nairobi Kenya

    ReplyDelete
  7. Mdau wa Pili hapo juu na nukuu '' Daraja la Kawe (Tanki Bovu) kupanda kwa komba, mpigaji alikua Juu njia panda ya Ditopile'' sasa hapo ulipotolea maelezo ni Pugu, Kisarawe Mkoa wa Pwani au ndo wapi kwa kina Ditopile?.

    Mdau
    Diaspora

    .

    ReplyDelete
  8. Hapa Tandika mwisho Chihota karibu na kituo cha polisi
    Mndengereko Ukerewe

    ReplyDelete
  9. Ulayaaaa !

    ReplyDelete
  10. Bondeni Kawe

    ReplyDelete
  11. manchester

    ReplyDelete
  12. Wote mmekosea jibu ni Paleee.....

    ReplyDelete
  13. WOTE HAPO JUU MMEKOSEA! HAPO NI MAGOMENI KUELEKEA MKWAJUNI.... ANAYEBISHA ASEME.... SO SERIOUS!

    ReplyDelete
  14. Bonde la mto Mbezi barabara ya Bagamoyo.

    ReplyDelete
  15. baada ya ya mkutano wa kawe na bagamoyo rd kuelekea tanki bovu(kwa komba)

    ReplyDelete
  16. Hapo ni Kondoa mjini njia ya kwenda kigodiniown

    ReplyDelete
  17. Hapo ni baada ya africana kama unakwenda njia panda ya kunduchi

    ReplyDelete
  18. Hapo ni bondeni napita kila asbh na gari yangu, hiyo road ndiyo rais ameizindua juzi

    ReplyDelete
  19. Hapo ni bondeni mi kila siku napita na gari yangu, hiyo road ndiyo rais ameizindua juzi

    ReplyDelete
  20. HII ni Berlin Germany kona ya Waschauer str

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...