Baadhi ya Watanzania waishio Poland wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) wakati alipokutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu.
   Mmoja wa Watanzania waishio Poland wakiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara baada ya kukutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu. (Picha na Irene Bwire wa OWM).
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Watanzania waishio Poland (WAPO), Bw. Steven Sambali mara bada ya kukutana nao na kuwaeleza mambo yanayoendelea nyumbani Tanzania. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. NAAMINI KUWA KILA KIONGOZI ANAPO TEMBELEA NCHI ZA NJE NA KUKUTANA NA WATANZANIA HUKO HUWA WANATOWA MAONI YAO KULINGANA NA HALI YA TARATIBU NA BAADHI YA MAPUNGUFU YALIOMO KWENYE TARATIBU NNA SHERIA ZA NCHINI TZ, SWALI LANGU NI:HAWA VIONGOZI HUWA WANAFIKISHA HUO UJUMBE NA KUUFANYIA KAZI AU TUNAPOTEZA MDA KUTOWA WAONI YETU KWAOOOO? KWA MFANO UTAKUTA HALMASHAURI FULANI INACHANGISHA MCHANGO WA KUJENGA SHIMO LA CHOO CHA SHULE FULANI, AMRI KUWA KILA MWANANCHI Tsh 10000/= LAKINI WACHANGIAJI HAWAPEWI BUDGET YA SHIMO NI KIASIGANI KINATAKIWA TUCHANGIE??? HUO NI UONEVU KWA WASIOJUWA HAKI ZAO. INABIDI SERIKALI IFIKE PAHALI IWAHURUMIE WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI KWANI WANAHALI NGUMU KIMAISHA UKILINGANISHA NA VIONGOZI WETU MAFISADI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...