Kamera ya Globu ya Jamii,mchana huu imeinasa gari hii ikipiga "yuuuu tani" katika Barabara ya Pugu Road eneo la Kamata jijini Dar,huku akiwa hana noma wala nini. 
Hapo akiichekecha ili achomoke zake....
Yuleeeee.... huku mdao pale pembeni akiwa haamini anachokiona machoni mwake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...