Pichani kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Mkombozi,Bwa Masha J. Mshomba akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani),Mwishoni mwa wiki jijini Dar, kuhusiana na kuwafahamisha Watanzania kuhusu mauzo ya awali ya hisa
za benki yao ya Mkombozi,ikiwemo pia na kuwaomba Watanzania washiriki katika
ununuzi wa hisa za Benki hiyo ya Mkombozi,shoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Mkombozi Bwan. Edwina Lupembe.
Home
Unlabelled
BENKI YA MKOMBOZI YATANGAZA MAUZO YA AWALI YA HISA ZAKE,YAWAOMBA WATANZANIA WAJITOKEZE KUZINUNUA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Edwina Lupembe ni bibi na sio bwana..huenda huyo aliye pembeni ni kaimu Mkurugenzi Mkuu
ReplyDeleteSamahani Mkuu, Huyo pembeni ya Mshomba siyo Mama Edwina Lumpembe, ni Mkurugenzi wa Sheria na Katibu wa Bodi ya Mkombozi Bank Mr.Baltazar Mbilinyi. Mama Lupembe alikuwa kulia mwa Mshomba na kama jina lake linavyojieleza yeye ni mwanamke wakati huyu pembeni ni mwanaume.
ReplyDelete