Bondia Thomasi Mashali (kushoto) akitia saini ya mkataba wa makubaliano ya kuzipiga na Bondia Abbdallah Pazi (kulia) mbele ya promota Kassim Texas (katikati) mpambano utakaofanyika januari mosi katika ukumbi wa friends corner,Manzese jijini Dar es salaam.
Bondia Thomasi Mashali (kushoto) akitunishiana misuli na Abdallah Pazi baada ya makubaliano yao ya kuzipiga katika mpambano wao,utakaofanyika Januari Mosi 2015 katika ukumbi wa Friends Corner,Manzese jijini Dar es salaam.Picha na SUPER D BLOG
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...