Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. But there was no a single kick during the fight, a few amateurish punches, both did not cover their faces very well, if they fought a trained fighter we could have seen a knockout.
    Cha ajabu mijitu mizima inashangilia na ina chochea watu wapigani.
    Dunia ya sasa kuna maukimwi, ma ebola nk, unless necessary, avoid contacting blood of any person really. But it was a good clean fight.

    ReplyDelete
  2. tatizo la ajira, watu wanapoteza muda kwa kushabikia upuuzi.

    ReplyDelete
  3. Nia na madhumuni ya ku approve kitu cha kipuuzi kama hiki ni nini ?

    ReplyDelete
  4. Ni lini sisi watanzania tutastaarabika????

    ReplyDelete
  5. We call it pussy fight something most of Tanzania boxers have thus why they are easily knocked down.....haya tuyaache hayo kikubwa zaidi ni kwa nini watu wanawaacha wapigane??? ivi kweli watanzania tumefika hapa???haya na wale wazee wa inteligensia wako wapi muda wote huu???hata kabomu basi ka machozi kamekosekana lo uhaba ulioje????ni kosa kupigana hadharani, yawezekana video imeunganishwa vipande au la maana mara baada ya trafiki ngumi ziliendelea ni ajabu kidogo???Ebwana kijiwe cha ughaibuni vp??? au ndio fitna ishapita maana sie nao kwa fitna hatujambo!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...