Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheli Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa akiwa pamoja na IGP mstaafu Mzee Philemon Mgaya wakati wa sherehe hiyo iliyofana sana iliyofanyika katika Hotel ya Protea Court Yard ya jijini Dar es Salaam.
IGP Mstaafu Philemon Mgaya akikata keki huku akiwa amezungukwa na wajukuu wake. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Wow what is the secret ...85 years he still look good....
ReplyDelete