Rais wa Taasisi ya kijamii ya Wanawake wenye Mafanikio Tanzania (Tanzania Women of Achievement ),Bi. Irene Kiwia (wa pili kushoto) akizungumza kwenye moja vikao vya Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa (Unga) kwa kushirikiana na Clinton Global Initiative (CGI) uliofanyika mwezi uliopita nchini Marekani.Bi. Kiwia alipata nafashi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye Mkutano huo uliokuwa na ukijadili maswala mbali mbali ya wanawake na maendeleo, swala ambalo liko karibu sana na kazi zake akiwa kama mmoja wa Wanadiplomasia wa mambo ya Afya Ulimwenguni.Wengine pichani ni Bi. Sheila Tlou (Mwakilishi wa UNAIDS Mashariki na Kusini mwa Africa),Bi. Catharine Taylor (MSH),Bi. Kate Gilmore (UNFPA).
Sehemu ya Wadau wa Mkutano huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...