Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe said Meck Sadik na Meneja wa Huduma za Shirika la ndege la Emirates katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere Bw. Aboubakar Juma leo Novemba 6, 2014 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Marekani kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake
Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na askari polisi pamoja na wafanyakazi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege ya shirika la Emirates kuelekea Marekani leo Novemba 6, 2014
Hawezi kuchunguzwa afya yake muhimbili? Hadi America? Hospitali zetu zikiimarishwa zitakuwa nzuri na kutakuwa hakuna haja ya kuwapeleka viongozi wetu nje ya nchi kwani hapa nyumbani kungetosha.
ReplyDeleteKazi mnayo ya kuita mtu aliyepewa u-professor wa heshima eti professor!! Sasa Kofi Annan aitweje mwenye ma-PhD zaidi ya 10 ya heshima? Mimi nimesoma Ulaya na Amerika. Yaani maprofesa wa kweli wa Kizungu hawataki hata kuitwa professor. Ukimwita prof anakwambia, please call me John. Watu weusi kwa kujikweza tu hatujambo. Utadhani professor ama dr iko kwenye birth certificate!!
ReplyDeleteSi alikuwa Amrika hivi majuzi?
ReplyDeleteRais Profesa J. M Kikwete, nimeipenda hii.
ReplyDeleteKaribu MUHESHIMIWA. Tukuandalie nini safari hii?
ReplyDeleteMara Dk JMK, sasa ni Profesa, hii nayo imetoka wapi?
ReplyDeleteMuhimbili ni ya wazalendo siyo viongozi. How good is that, to see a specialist in USA, it is expensive in $$$$$$, hizo hela zinweza ku-run Muhimbili for 5 years.
ReplyDeleteBasi muhimbili ibomolewe kama ni hivyo
ReplyDeleteRais Profesa Dakita JMK
ReplyDeleteHuyu kweli prof
ReplyDeletenenda BABA,wewe ni mfano Africa nzima,hunampango wa kugeuza katiba ili usalie madarakani sababu una HOFU YA MUNGU,NENDA BABA KACHUNGUZE AFYA,MIMI MWANA CHADEMA
ReplyDeleteMI NIMEPENDA HIYO CEALING YA CABIN.. KWELI TANZANIA ZALENDO/... NA KAMA RAISI WETU YUKO MZALENDO ANGEAMUA KUANZISHA NA KUWA MFANO ILI ATIBIWE HAPA KAMA HAIWEZEKANI NINI KIFANYIKE ILI KIWEZEKANE KWA WENGINE KWELI ASIYEKUANACHO MUONGEZEE ZAIDI..
ReplyDeleteI see no shame on his face for taking this trip. Put that money into Muhimbili, better salaries for doctors and nurses, and educating doctors and health facilitators. He should be held accountable if he is spending public funds for this trip. He was just there!!!!! Why could he not have his 'check-up' while he was there on an official visit???? Waste of public resources, and treating us Tanzanians like fools. So shameful.
ReplyDeleteOh, 'Professa' 'Dokta' President Kikwete, while you are there being looked after by doctors that you seem to think are more competent than in the country that YOU govern, please see if you can get advise on how to fix the ceiling panels that are about to fall on your head in this picture. LOL....We still have a loooong way to go!!! Aibu, aibu, aibu!
ReplyDeleteKila siku na sali sana tupate kiongozii tajiri, mwenye afya njema, na upendo kwa wau, labda nchi yetu itaacha kuwa masikini. Ma Raisi wa nchi zilizoendelea, hawa endi nchi za nje kutibiwa, wanatibiwa nchini kwao na wanafurahia hivyo. Sasa ikija kwa nchi yetu, tatizo dogo au check up, mara kaenda nchi za nje. Nafahamu ma dakta wetu wamesoma nje na wachache wamefanya pratical nje na wanauwezo wakufanya check up vizuri tu...kama ni vifaa tukipiga hesabu trip za viongozi wote waendao check hospital za gharama, instead hiyo hela ingeweza kuwekezwa katika kuendeleza huduma ya afya nchini sii ingekuwa vizuri ?
ReplyDeleteYaani hili swala linakuna akili kweli.
Imagine nchi kwa ujumla ingeokoa kiasi ghani cha hela ? Jamanj tumechoka kuona kodi zinapanda kila leo ? Nikipiga hesabu ya viongozi wanaoenda A list hospital sehemu yeyote duniani kwa maswala madogo, roho inaniuma sana.
Kweli najua siku moja tutapata viongozi tajiri wa roho, wazima wa afya na wenye kujali walio wengi. Kama kiongozi ukishaona kitu kwako hakipo si ukinunue ? Kinunue kinufaishe japo viongozi wengine, na pengine kiingine kiwekwe kwenye hospitali nyingine wanufaike wengi. Hii ya kiongozi moja moja kwa kutumia hela za serikali....yaaani inasumbua sana roho yangu.
Nadhani tuwe makini kuchagua viongozi wenye afya, ili afya zao zisitugharimu.
Kama kiongozi ana hela binafsi basi haina neno. Atoke akatibiwe arudi atu nyanyue. Hii nchi yetu insitwa masikini kila leo ni Aibu tupu. Kama mnatupenda nyie viongozi, tuachieni tupumue, punguzeni trips za check up na hasa kama ni hela za jashi la wananchi. Tumechoka kuwa beba. Tunataka nchi yetu iwe tajiri.