Mwanzilishi na Mwenyekiti wa
kampuni ya Nabaki Afrika Hamish Hamilton akizungumza na waandishi wa
habari katika uzinduzi rasmi wa tawi kubwa la Arusha uliofanyika hivi
karibuni
msimamizi mkuu wa tawi hilo Jesse Madauda akiongea na wanahabari juu ya ufunguzi huo wa tawi kubwa la kamapuni ya Nabaki Afrika tukio lililofanyika hivi karibuni
Kulia niTania Hamilton akiwa na mumewe mwenyekiti wa kampuni Nabaki Afrika Hamish Hamilton
Mwanzilishi
na Mwenyekiti wa kampuni ya Nabaki Afrika Hamish Hamilton akiwa anampa
maelekezo mteja aliyetembelea tawi hilo siku ya ufunguzi hivi karibuni Nabaki Afrika imefungua rasmi tawi kubwa jijini Arusha eneo la njiro nyuma ya petro stationya BP katika jingo la RSA
Aidha mafanikio hayo yamepatikana baada ya kutoa huduma yake Arusha kwa miaka miwili katika tawi eneo nane nane njiro Arusha,Sambamba na kuzinduzindua tawi hili Nabaki Afrika imesherehekea miaka 20 tangu kuzaliwa kwake hapa Tanzania jijini Dar es saalam
Katika hatua nyingine Nabaki Afrika imejipanga zaidi katika kuboresha
zaidi huduma kwa wateja wake ili kuwawezesha watanzania wote kufanya
ujenzi bora na si bora ujenzi
Kwa upande wake msimamizi mkuu wa tawi hilo Jesse Madauda alisema
kuwa watu mbalimbalii wajitokeze katika tawi hilo ili waweze kupata
msaada zaidi katika ushauri na bidhaa zenye ubora wa hali ya juukatika
ujenzi
Naye mwanzilishi wa kampuni hiyo Hamish Hamilton alisema changamoto
pamoja na mafanikio waliyoyapata kupitia wafanyakazi wa kampuni hiyo
kuwa ni watu wakujituma katika kazi
Pia alisema kuwa kauli mbiu ya kampuni hiyo ni kuwa imejaribiwa imepimwa imeaminiwa na watanzania kwa mda mrefu sasa(Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...