Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Neawala Mh George Mkuchika mara baada ya kuwasili mjini Newala akiwa katika ziara ya kikazi katika mkoa wa Mtwara ziara yenye lengo la kukagua na kuhimiza Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali kwa kushirikiana na wananchi, Katibu Mkuu Kinana emeembelea na kukagua miradi mbalimbali ikiwemo ya ujenzi wa miondombinu ya maji , Zahanati Ofisi za Chama cha Mapinduzi na kuzungumza na wananchi katika mikutano mbalimbali, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE -NEWALA-MTWARA) 

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimianaviongozi wa kiwanda cha kubangua korosho mjini Newala kulia Niry Patel Mratibu wa Usafirishaji na katikati ni Ednyadayu Meneja wa ufundi. 

Wafanyakazi wa kiwanda hicho wakiendelea na kazi ya kubangua korosho
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mhandisi wa Maji Newala Bw. Nsajigwa Said wakati alipotembelea chanzo cha maji cha Malatu mjini Newala. Picha zaidi na maelezo BOFYA HAPA
safi; ila wavae glovu
ReplyDelete