Profesa Richard Kangalawe akiwasilisha maoni kuhusu Rasimu ya Sera ya Mazingira katika kikao
kilichofanyika katika Ukumbi wa NIMR Jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Angelina Madete akifungua kikao cha kupitia
Rasimu ya Sera ya Taifa ya Mazingira jijini Dar es Salaam.
Wajumbe kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wakisikiliza maoni kuhusu mapitio
ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Mazingira iliyowasilishwa na jopo la Wataalamu katika
kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa NIMR Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...