![]() |
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiteta jambo na Spika wa Bunge la Afrika Kusini Mhe. Baleka Mbete kabla ya kuanza kwa kikao cha Mkutano wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi wanachama wa SADC jana mjini Victoria Zimbabwe. Uchaguzi wa Rais wa Jukwaa hilo unafanyika leo ambapo Spika Makinda anaungwa Mkono na Nchi nyingi za SADC . Kwa habari kamili BOFYA HAPA |
Home
Unlabelled
Kila la Kheri Spika Makinda, Urais Bunge la SADC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...