Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara baada ya kupokea taarifa za chama na serikali juu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupasua mawe wakati wa ujenzi wa mradi wa maji Sengenya
 Ujenzi wa mradi wa maji wa Sengenya ukiwa unaendelea ambapo ukikamilika utasaidia vijiji vitatu wilayani Nanyumbu mkoa wa Mtwara.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupanga mawewakati wa ujenzi wa bwawa la maji la Sengenya ambalo litasaidia vijiji vya Sengenya, Mara na Nangarinje.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Daktari Mkuu wa Wilaya wilaya ya Nanyumbu Dkt. Ahmad Mhando ambapo Katibu Mkuu wa CCM alitembelea kituo hicho cha afya cha Mangaka. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...