WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mh. Haroun Ali Suleiman (katikati),akiwa na baadhi ya uongozi wa Chuo Kikuu Zanzibar wakati wa mahafali ya 12 yaliyofanyika katika viwanja  vya  chuo hich Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
 WAHITIMU wa fani mbalimbali katika mahafali ya 12 ya Chuo kikuu cha Zanzibar (ZU),wakiwa kwenye gwaride lililoandaliwa kwa ajili ya kuwatunuku shahada mbalimbali huko katika viwanja vya chuo hicho Tunguu jana.
 
 BAADHI ya wazee wa wanafunzi wa Chuo kikuu Zanzibar (ZU) wakiwa katika uwanja wa mahafali ya 12 wakihudhuria mahafali hayo yaliyofanyika huko Tunguu.
 BAADHI ya wazazi wa wanafunzi wa Chuo kikuu Zanzibar (ZU) wakiwa katika uwanja wa mahafali ya 12 wakihudhuria mahafali hayo yaliyofanyika huko Tunguu.
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh.Pandu Ameir Kificho (kushoto),akiwa na baadhi ya uongozi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar wakati wa mahafali ya 12 yaliyofanyika chuoni huko, wapili kushoto Makamu Mkuu wa chuo hicho Pr.Mustafa Roshash. Picha zote na Abdallah Masangu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. is it univercity or university? Kwanini hatupendi kupitia kazi zetu kabla ya kuzituma? tena hii ni habari ya CHUO hiyo inaripotiwa. Nashindwa kuelewa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...