Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe.Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Umaaja wa Vijana wa CCM  Mhe.Mboni Mhita (kulia)  na Bi. Loveness Mamuya  kabla (juu) na baada (chini) ya Mhe.Mulamula kufanya mazungumzo na Mhe.Mboni ubalozini Washington DC

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. duh huyu mamuya ameenda hewani si kitoto.

    ReplyDelete
  2. Inapendeza sana Dada Liberata bado nakushukuru kwa ukarimu wako ulionao indelea hivyo hivyo kama alivyokuwa baba yako kipenzi cha watu

    ReplyDelete
  3. Du. Loveness upo. Kumbukia enzi zetu za Buguruni Hostel.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...