Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo
pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana
kwa mazungumzo
Mhariri wa gazeti la Jamhuri, Jackton Manyerere, akichangia mada wakati
wa mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, yaliyofanyika nyumbani kwake Oysterbay jijini
Dar es Salaam, jana Novemba 14, 2014
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, Deodatus
Balile na Mhariri wake, Jackton Manyerere (kulia) mara baada ya
kumalizika mazungumzo na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari
yaliyofanyika kwenye Makazi ya Mhe Makamu wa Rais Oysterbay, jijini Dar
es Salaam, jana usiku Novemba 14, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Wahariri wa Gazeti la Mwananchi mara baada ya
kumalizika mazungumzo na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari
yaliyofanyika kwenye Makazi ya Mhe Makamu wa Rais Oysterbay, jijini Dar
es Salaam, jana usiku Novemba 14, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wahariri hao baada ya mazungumzo.
Picha na OMR.
Sawa tumeona picha, tunataka kusikia Makamu wa Raisi ameongelea nini? Manake yeye sasa hivi ndio anakaimu uRaisi manake Raisi yupo nje ya nchi.
ReplyDelete