Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kaimu Rais Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimuapisha Dkt. Adelhelm James Meru kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye hafla fupi iliyofanyika leo Novemba 17,2014 Ikulu Dar es salaam.
Makamu wa Rais na Kaimu Rais Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na utalii Dkt. Adelhelma James Meru wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuapishwa leo Novemba 17, 2014 Ikulu Dar es salaam.
Makamu wa Rais na Kaimu Rais Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na utalii Dkt. Adelhelma James Meru wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii mara baada ya kuapishwa leo Novemba 17, 2014 Ikulu Dar es salaam.
Makamu wa Rais na Kaimu Rais Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na utalii Dkt. Adelhelma James Meru wakiwa katika picha ya pamoja na Familia mara baada ya kuapishwa leo Novemba 17, 2014 Ikulu Dar es salaam. (Picha na OMR)
Kwa taarifa hii ina maana Mh. Makamu wa Rais sasa anakaimu kiti cha Rais?
ReplyDeleteNa hivyo kuwa picha hii inaashiria Dr. Mohammed Gharib Bilal ndiye kaimu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati Rais Jakaya Kikwete akiwa nje ya nchi kwa matibabu.
Wataalamu wa katiba, ''msaada tutani'' maana hatujasikia taarifa kwa umma toka kurugenzi ya mawasiliano Ikulu.
Mdau hapo juu katiba ndio inavyosema. Maana ya makamu wa Raisi ni kuchukua madaraka ya urais kama Raisi yupo, nje anaumwa au amefariki.
ReplyDelete