Mwenyekiti Mteule katika Uchaguzi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi,Ndg. Zefrin Lubuva (kulia) akirejesha fomu ya kuwania nafasi hiyo kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi,Bi. Vicky Mwakasonda katika ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Oysterbay,jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti Mteule katika Uchaguzi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi,Ndg. Zefrin Lubuva akisaini fomu mbele ya Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi,Bi. Vicky Mwakasonda wakati alipozirudisha katika ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Oysterbay,jijini Dar es Salaam jana.Kulia ni Katibu wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Oysterbay,Ndg. Joackim Ngonyani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mbona ofisi ya serikali za mtaa hii inaonekana nzuri au kwa sababu ipo kwa vigogo oysterbay ? Fikeni za uswahilini muzione zilivyikua chafuuu

    ReplyDelete
  2. Urithi unaendelezwa!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...