Kikundi cha ngoma cha Lunyamila kikitoa Bururani kwa Mhe. Anne Makinda (wapili kulia) wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege mjini Dodoma leo,baada ya kushinda kiti cha urais wa mabunge SADC. 
Mh. Anne Makinda akipokea maua kutoka kwa baadhi ya maafisa wa Bunge waliofika uwanjani hapo kumpokea.
 Mhe.Anna Makinda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu nafasi yake ya kuliongoza Bunge la SADECC mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege Dodoma akitokea Zimbabwe kupitia Nchini Botswana leo.
Waziri wa Nchi Ofisi yaWaziri Mkuu (Bunge),Mh. William Lukuvi akiongozana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...