Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta (kulia) na Naibu Waiziri wa TAMISEMI (Elimu) Mh. Kassim Majaliwa wakizungumza nje ya Ukumbi wa Mkutano wa Kenyatta kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Miundombinu Nov 29, 2014,Nairobi
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu Miundombinu leo Novemba 29, 2014 Nairobi, Kenya
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afrika Mashariki Bw. Amantius Msole (kulia) na Naibu Mwanasheria Mkuu Mh. George Masaju walifuatilia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu Miundombinu leo Novemba 29, 2014 Nairobi, Kenya
![]() |
Makamu wa Rais wa Kenya Bw. William Ruto akizungumza kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu Miundombinu leo Novemba 29, 2014 Nairobi, Kenya. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...