Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Safi sana jamani, wadau wanaohusika na hili wawasaidie kuinua kiwango cha ligi kwa hawa vijana ili kupunguza uhalifu unaoweza kuepukika. Tunaishukuru Mtaa kwa Mtaa Mbeya.

    ReplyDelete
  2. Kazi kweli kweliiiii!!!!!!!
    Ila inafurahisha sana....ila bado tuna safari ndefu sana kuhisu michezo Tanzania.

    ReplyDelete
  3. Hicho kiwanja kinaitwa KIWANJA NGOMA si kiwanja cha bomani kama anavyouita mtangazaji

    ReplyDelete
  4. Safiii sana. Vipaji vya kila fani: mpira wa miguu na correspondent!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...