Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM na mlezi wa mkoa wa Simiyu Jerry Silaa akiongea na wananchi wa kijiji cha Mwamhongo wilayani Meatu, mkoa wa Simiyu. Ndg. Jerry Silaa amechangia mabati 50 kusaidia ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Mwamhongo kata ya Mwasengela kilometa 94 toka makao makuu ya Wilaya ya Meatu. Ndg.Jerry amekuwa kiongozi wa kwanza wa Chama chochote wa ngazi ya Taifa kukanyaga ardhi ya Kijiji hiki.
Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Jerry Silaa ambaye ni Mlezi wa mkoa wa simiyu leo katika siku ya sita akikagua utekelezaji wa ahadi ya Mhe Rais Dr.Jakaya Kikwete ya ujenzi wa barabara za lami kilometa 3 kwenye mji wa Mwanhuzi makao makuu ya Wilaya ya Meatu. Kazi imefanyika kwa asilimia 40 na itakamilika mwezi wa tatu mwakani.
ujenzi wa barabara za lami kilometa 3 kwenye mji wa Mwanhuzi makao makuu ya Wilaya ya Meatu. Kazi imefanyika kwa asilimia 40 na itakamilika mwezi wa tatu mwakani.
Kazi za ujenzi wa barabara za lami kilometa 3 kwenye mji wa Mwanhuzi makao makuu ya Wilaya ya Meatu zikiendelea
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...