Jina: Mwasiti Abdulrazack Kakurwa.
Umri miaka 12.
Rangi ya mwili: Mweusi.
Mara ya mwisho alivaa T-shirt iliyoandikwa Mnazi Mmoja primary School, na alijifunika mtandio mweusi. Ametoweka jana jioni maeneo ya mtaa wa Berege, Tandika, Temeke, Dar es salaam.
Yeyote atayemuina ama mwenye taarifa zake tunaomba taarifa zipelekwe katika kituo chochote cha polisi ama Kituo cha police tandika, Temeke, na police Chang'ombe, Dar es salaam. Ama kwa Mzazi Abdurazack Kakurwa, namba ya simu 0713 835699, au Mubashiry Kakurwa, simu namba 0756/0717 -166438

Hakuna lingine la kuogopa zaidi kwa msichana wa umri huu bali ni NDOA ZA UTOTONI!
ReplyDeleteBinti wa miaka 12 kama huyu badala ya kumwelekezea ktk masomo watu wanampigia mahesabu ya kumtorosha na Kumuoa!!!
Mshenga kachelewa.
ReplyDeleteKama alikuwa anapata alama nzuri shuleni inabidi kumshitaki aliyemtorosha.
kama alama zake ni hakuna, msaidieni aendelee na ndoa.