Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka
Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Daktari Edward Schaeffer muda mfupi baada ya kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins huko Baltimore, Maryland nchini Marekani ambapo alifanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.(picha na Freddy Maro)
Twafarijika tukiona unaonaendelea vema
ReplyDeleteTwakuombe upone na hatimaye urudi nyumbani na tuendelee kulijenga Taifa letu.
Tango Mike - Arusha
Get well Mr. President!
ReplyDeleteProfessor Jakaya Kikwette. sio Dkt tena tafadhali. badilisha mkuu.
ReplyDeleteTunamshukuru Mwenyezi Mungu kumjaalia Mheshimwa Rais wetu mpendwa nafuu ya haraka. Tunazidi kumuombea afya njema.
ReplyDeleteUholanzi