Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns
Hopkins iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika
mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita.Rais Kikwete
anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa
maendeleo ya kidonda na ushauri .Kulia kwake ni Daktari wa Rais
Profesa Mohamed Janabi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepumzika kwenye hoteli maalumu baada ya kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland alikotolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume wiki iliyopita.Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri. Picha na Freddy Maro.
Tunashukuru mungu mh rais wetu anaendelea vizuri ningekua karibu ningeenda kumuona
ReplyDeletePole sana Mhe. Rais.
ReplyDeleteMungu akuponye haraka na urejee katika hali yako ya kawaida ili umalizie malengo ya moyo wako katika kuijenga nchi yetu.
Njoo baba utuweke sawa watuwako
ReplyDeleteGet well soon mr president...
ReplyDeleteMola ni mwema sana na atazipokea dua za watanzania wote In sha allah upone haraka na aakufanyie wepesi kwa kila hatua iwe ya mafanikio na salama uweze rejea nyumbani Tanzania salaama salmin Ameen.
ReplyDeleteExecutive Chef
Mheshimiwa Rais, Mungu mwenye uwezo wote akuponye na kukutia nguvu.Ubarikiwe!
ReplyDeleteUtapona. Inshaallah
ReplyDeletePole Baba
ReplyDeletePole Mh. Rais wetu. Mungu azidi kuimarisha afya yako.
ReplyDelete