Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wapiganaji wa jeshi la KMKM katika sherehe za ushindi wa timu zake katika michezo mbali mbali kwa misimu miwili zilizofanyika leo viwanja vya maisara Mjini Zanzibar (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maaalum za SMZ Haji Omar Kheri. 
 Kamanda Haidari akiwa kama kocha kwa Timu yake ya Makamanda waliostaafu wa KMKM katika sherehe za  sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali  mbali  kutoka 2013-2014 mpaka 2014/2015,zilizofanikisha kwa mchezo wa kuvuta Kamba na hatimaye timu hii ya wastaafu iliwashinda Maofisa walio kazini kwa kuwatoa katika raund zote mbili leo viwanja vya Maisara.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...